JATU PUBLIC LIMITED COMPANY
www.jatukilimo.comJATU PUBLIC LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwaajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia. Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro na Tanga.
Read moreJATU PUBLIC LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwaajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia. Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro na Tanga.
Read moreEmployees statistics
View all employeesPotential Decision Makers
Chairman of the Board
Email ****** @****.comPhone (***) ****-****Mobile Application Developer
Email ****** @****.comPhone (***) ****-****
Technologies
(4)